Mziki ya Wiki: #78

[February 20  – February 26] Niaje, music lover? Kama kawa, shukran sana kwa kuwa hapa. List ya leo itakuwa fupi. Wimbo wa kwanza ungefaa kuwa katika orodha ya last week, Mziki ya Wiki: #77, lakini Andromeda Music wali-erase part of memory, nikasahau niliskia other music outside of their album Underscore The Architect. Then, out of …

Continue reading Mziki ya Wiki: #78